RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO

Ratiba Ligi kuu Tanzania TPL leo 29 December 2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania bara leo Itaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa baada ya Jana kushuhudia mechi kadhaa zikichezwa na matokeo ya sare kutawala .
Mechi za leo.
  • Lipuli VS Ndanda

  • African Lyon vs Mwadui

  • Mtibwa vs Azam Fc

  • Ruvu Shooting vs Biashara

  • Mbeya City vs Yanga

  • Simba vs Singida United 
LihatTutupKomentar