YONDANI KUIKOSA NDANDA JUMAPILI HII

-Nahodha wa klabu ya Yanga Kelvin Yondani ataukosa mchezo wa kesho Jumapili dhidi ya Ndanda kutokana na majeraha ya goti aliyopata mchezo dhidi ya Lipuli FC. Hata hivyo beki Andrew Vicent Dante amerejea kikosini baada ya kumaliza adhabu yake ya kukosa michezo mitatu.

LihatTutupKomentar