Taarifa mpya na muhimu kutoka Yanga mchana wa leo
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kupitia Mwenyekiti Malangwe Mchungahela imetangaza tarehe ya Uchaguzi wa Klabu ya Young Africans utakaofanyika Januari 13,2019,nafasi zitakazogombewa ni Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti na Wajumbe 4 wa Kamati ya Utendaji