SINGIDA UNTD YAMSAJIRI KINDA WA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA




Klabu ya Singida United imefanikiwa imefanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Taifa (U-23) ya Zambia Jonathan Daka.

Jonathan anayecheza nafasi ya kiungo ameingia kandarasi ya kuitumikia Singida United kwa mkataba wa miaka mitatu(3). Usajili huu umelenga kuimarisha kikosi, zaidi kuelekea @tzsportpesa Cup inayotegemea kuanza January 22 /2019.

LihatTutupKomentar