TFF WATOA TAMKO KUHUSU SIMBA



Baada ya taarifa za awali kutoka zikieleza kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi limesimamisha mechi za Simba na Yanga kutokana na wchezezaji wa timu hizo kuitwa Taifa Stars, Shirikisho hilo limeibuka na kusema ratiba ya ligi itaendelea kama kawaida.



LihatTutupKomentar