LIPULI FC WAAPA KUWA GALAGAZA MTIBWA SUGER

Mkuu wa kitengo cha habari Clement sanga amewatoa hofu wanachama na wapenzi wa LIPULI FC kua timu yao Iko vizuri kwa mchezo wa jumamosi utakao pigwa katika dimba la samora saa 8:00 mchana
Pia Mechi hiyo itatumika Kama kutangaza jezi mpya za LIPULI FC zitakazo zinduliwa Rasmi uwajani hapo

LihatTutupKomentar