Cristiano Ronaldo (katikati) akimpongeza, Mario Mandzukic (kushoto) baada ya kuifungia bao la kwanza dakika ya pili kabla ya kumsetia, Blaise Matuidi kufunga la pili dakika ya 58 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Parma Uwanja wa Ennio Tardini. Bal la Parma limefungwa na Yao Gervinho dakika ya 33