LONDON, England
TIMU ya Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kumwinda winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha, ambaye anauzwa kwa pauni milioni 75.
Taarifa zinaeleza kwamba nafasi hiyo kwa Chelsea imekuja baada ya Tottenham kuamua kujitoa katika mbio za kumfukuzia