JUMA LUIZIO KAJIUNGA TENA NA MTIBWA

Mshambuliaji Juma Luizio Ndanda akiwa ameshika fomu za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro akitokea Simba SC. Luizio aliondoka Mtibwa Sugar mwaka 2014 kwenda Zesco United ya Zambia kabla ya mwaka jana kurejea nchini kujiunga na Simba SC na sasa anarejea nyumbani Manungu
LihatTutupKomentar