KUELEKEA KOMBE LA DUNIA RUSSIA, NANI KUVUNJA REKODI YA MIROSLAV KLOSE ?

Gharib MZINGA

Kombe la dunia Ndio michuano mikubwa zaidi katika Ngazi ya timu za taifa katika soka FIFA ndio waandaaji wa Michuano hii. ilianzishwaa miaka 88 iliyopita, Mwaka rasmi ni 1930. Timu iliyobeba mara nyingi taji hilo ni Brazili ikifanya hivyo mara 5, Huku italy na germany mara 4 kila moja.

Kuna Tuzo mbali mbali hutolewa baada ya kumalizika kwa michuano hiyo. miongoni mwa Tuzo hizo ni ile ya Mfungaji Bora wa mchuano.

Katika Historia ya Kombe la dunia Mchezaji anayeshikilia rekodi ya Kufunga mabao mengi ni Mshambuliaji wa Zamani wa Timu ya taifa ya Ujerumani Miroslav Klose goli 16. akiwa amecheza michuano ya 2002, 2006, 2010 & 2014.

Wafuatao ni wale wanaomfatia miloslav klose.

2. Ronaldo Luis Nazario de lima (Brazil) goli 15.

3. Gerd Muller (Germany) goli 14.

4. Just Fontaine (france) goli 13.

5. Desmento Pelle (Brazil)  goli 12.

6. Jurgen Klinsmann (England) 11.

7. Sandro Kocsis (Hungary) goli 11.

8. Gabriel Batistuta (Argentina) 10.

9. Garry Lineker (England) goli 10

10. Thomas Muller (Germany) goli 10.

Hawa ndio Wachezaji 10 bora katika orodha ya ufungaji Thomas Muller ndie Mchezaji pekee anayeendelea kucheza.

PIA. Mchezaji anayeshikilia rekodi ya kufunga goli nyingi katika msimu mmoja ni Mfaransa Just Fontaine Goli 13 michuano ya mwaka 1958.

Nani kuvunja Rekodi hizi ? TWENZETU RUSSIA.

LihatTutupKomentar