JUMA LUIZIO AAMUA KUONDOKA SIMBA

Simba msimu huu Imekuwa ni moja kati ya Timu yenye Kikosi bora pengine zaidi ya Vikosi ambavyo vimekuwepo kwa misimu mitano Nyuma.
Lakini Kikosi cha Simba kimekuwa cha Moto zaidi katika safu yake ya Ushambuliaji huku pacha Bocco na Okwi wakionekana wazi kukosa Mpinzani pale wanapokuwa fiti uwanjani.
Bilionea anayetajwa Yanga
Hali hiyo imemfanya Straika wa zamani wa Zesco Juma Luizio kuona ni heri aondoke zake tu Simba mapema na Kutafuta timu nyingine kwaajili ya Msimu Ujao.

Luizio alisema Licha ya kuchukua Ubingwa akiwa na Simba lakini anahofia kukaa benchi kutapoteza kabisa kiwango chake hivyo ni bora atagute Timu atakayopata nafasi ya Kucheza


LihatTutupKomentar