Msemaji wa simba Haji Manara amekanusha taarifa zinazo zagaa mitandaoni kua yeye Hakuna maelewano ndani ya club ya simba Haji Amesemakua yeye ni binadamu anakila sababu ya kuandika chochote anacho kiamini haji Anasema kua yeye bado ni mwajiriwa wa simba na wanajiandaa kwaajiri ya mchezo wao dhidi ya Ndanda (kuchele)
Simba wakiwa katika harakati za kutwaa ubingwa pia haji amewataka wana simba kuwa waturivu na waendelee kuiunga mkono timu yao
Simba wakiwa katika harakati za kutwaa ubingwa pia haji amewataka wana simba kuwa waturivu na waendelee kuiunga mkono timu yao