SIMBA KUJIHAKIKISHIA UBINGWA LEO?

Na EMMANUEL MKOME: (Mr Arsenal)

Mabingwa wa zamani tanzania bara  SIMBA SCleo wanashuka dimbani kwenye uwanja wa samora mjini Iringa kucheza na wenyeji wao timu ya Lipuli FC katika mwendelezo wa kufukuzia ubingwa wa ligi kuu tanzania bara.

Simba  leo inashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kuwafunga  tanzania Prison 2 bila kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Kwa upande wa bechi la ufundi la klabu ya Simba,kocha wa timu hiyo  Mfaransa,Pierre Lechantre,Amesema uenda golikipa wa timu Aishi Manula na mshambuliaji wake Emmanuel Okwi uenda hawatakuwepo sehemu yamchezo huo.

Swali la kujiuliza ni kwamba Simba leo itafanikiwa kupata alama tatu ili kuzidi kujikita kileleni mwa ligi kuu,pia kujihakikishia Ubingwa msimu huu? mimi na wewe hatujui tusubiri mchezo wenyewe ambao unatarajia kuanza kuchezwa majira ya saa 16:00.
LihatTutupKomentar