FINALI YA ASFC KUPIGWA ARUSHA GODFREY MGAYA Jumatano, 18 Aprili 2018 Facebook Twitter ASFC Mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) umepangwa kupigwa tarehe 02/06/2018. Taarifa iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeeleza kuwa mchezo huo utapigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. LihatTutupKomentar Post Selanjutnya Post Sebelumnya