Yanga Kabla Ya Kuwakabili ST Loius FC

Kikosi cha Yanga sc kinataraji kuondoka nchini jumapili asubuhi kuelekea Shelisheli tayari kwa mchezo wa marejeano na ST Loius fc kwenye uwanja wa stadelinite Mchezo unaotarajiwa kupigwa mnamo.feb 21.

Katika mchezo wa awali Yanga iliibuka na ushindi wa goli 1 - 0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa taifa, jijini Dar es Salaam..

Kabla ya mchezo huo klabu ya Yanga inatajiwa kushuka dimbani kueakabili Njombe mji katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, mchezo utakaopigwa  Jumatano ya februari 14 katika uwanja wa taifa.
LihatTutupKomentar