Timu ya taifav ya hispania Imebahatika kufuzu fainali za kombe la Dunia mwakani nchini Urusi,Hispania Imewafata timu ya taqifa ya Uingerezabaada ya kutoka na ushindi wa magoli 3 dhidi ya Albania,magoli hayo ya hispania yakifungwa na Rodrigo,Isco,Thiago