Winga Simba sc atimkia Singida United


Singida United Fc yailiza Simba Sport Club, Yamng'oa winga wa kulia Pastory Athanas kwa kandarasi ya miaka miwili.
Pastory Athanas moja ya wachezaji wazuri vijana lakini si chaguo kwa kocha Omog wa Simba, hivyo ameamua kupeleka huduma yake kwa timu ya Singida United Fc.
Hapo pichani ni Pastory Athans akikabidhiwa jezi na Mkurugenzi wa Singida United ndg.Festo Sanga.
LihatTutupKomentar