TIMU ZITAKAZOCHEREWA KUWASILISHA USAJILI KUSHUSHWA DARAJA


 Zimebaki siku nane kabra ya dirisha ra usajili la ligi kuu tanzania bara ligi daraja la kwanza na la pili kufungwa.            muda huo umebaki huku vigogo vya soka nchini yanga na simba  na timu zote zinazoshiliki ligi kuu ya vodacom hazijawasilisha usajili dirisha la usajili lilifunguliwa tarehe 15 juni mwaka huu na sasa linaerekea mwisho    lakini hadi jana hakuna hata timu moja ya ligi tanzania bara iliosajili kupitia mtandao wa shilikisho la soka tanzania (TFF), JONAS KIWIA alisema jana timu tatu za madaraja ya chini ndiyo zimekamilisha mchakato huo.             kiwia alisema iwapo yanga au simba na timu nyingine za ligi kuu na daraja la kwanza na la pili           zitashindwa kukamilisha usajili zitashushwa daraja kwani hazitahusika  kushiliki ligi husika.    kwa iliosajili kupitia mtandao hakuna hata timu moja za ligi kuu iliosajili kupitia mtandao ,tanzania tunawahimiza kuwanza usajili mapema kuepuka usumbufu baadae kushushwa daraja    alisema imejengeka   tabia kwa timu za tanzania kila msimu kucherewa kumaliza  usajili mapema na kusubili ambapo kuna athari kubwa athari mojawapo ni kukwama kwa mtandao kwanikilatimu inakimbizana na muda kufungwa kwa dirisha  timu nyingi     zinakimbizana kusajili wachezaji wakisubili mikataba yao kuisha mwishoni mwa mwezi octoba .            mbali na yanga na simba nyingine ni  mtibwa suger, -    azam,              -majimaji,- kagera suger,- mwadui, mji njombe, lipuli, mbao, ruvu shooting, ndanda, singida, mbeya city             
LihatTutupKomentar