Inaandikwa na IMANI SADICK Kiungo Wa kimataifa Wa Klabu Ya young Africa (YANGA) Raia Wa Zimbabwe Ameongeza MKATABA wa kuendelea kuitumikia Klabu hiyo kwa kusaini miaka Miwili (2) Kwa mujibu Wa chanzo chetu Kutoka ndani ya Klabu hiyo inaelezwa alisaini MKATABA huo jana majira ya saa 10:30 Jion Katika Makao Makuu Ya Klabu Hiyo Jijini Dar Es Salaam Kiungo huyo anaungana na mzimbabwe Mwenzake DONALD DOMBO NGOMA Ambaye Aliongeza MKATABA wa Kubakia Katika Klabu hiyo KWA HABARI ZAIDI ENDEREA KUA NASI KATIKA BLOG YETU AMBAYO NI Www.mkomesportsnest kwa Habari za MICHEZO kitaifa na KIMATAIFA
 (THABANI SCALA KAMSOKO Katika Picha)