SINGIDA UNITED HAWAKO NYUMA.

Wakati Harakati za Usajiri zikiendelea Hapa Tanzania na Barani ulaya,vilabu vingi vimefanya usajiri kuzidi kuimarisha timu zao kwa misimu inayo kuja.
Kwa hapa Tanzania Singida United ni klabu inayo shiriki ligi kuu Tanzania Bara kwa musimu wa 2017-2018.
Singida United imesajili vifaa viwili kutoka Rwanda.
Singida United Imemsajili beki wa kuli wa Timu ya taifa ya Rwanda na Nahodha wa klabu APR ya Rwanda Michel Rushengoga.
Michel ambae pia Alipata tuzo ya goli bora la msimu kwa ligi kuu ya Rwanda.
Pia Singida United imemtambulisha rasmi mfungaji bora wa misimu miwili mfululizo wa ligi kuu ya Rwanda Dany Usingimana,kwa mkataba wa miaka miwili.
LihatTutupKomentar