Shabiki Mmoja Kamkubatia Rooney Uwanjani.

Wakati mpambano Kati ya Gor mahia ya Kenya dhidi ya Everton ukiendelea uwanjani Dakika ya 20 ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo.


Shabiki Mmoja ambae hakuweza kufamika jina lake,Alikimbia uwanjani hadi kumkubatia Aliyekuwa nahodha wa klabu ya Manchester United ya England Wayne Rooney.


shabiki hiyo alikuwa kavaa jezi nyekundu ya Manchester United.
picha kwa Hisani ya Milladayo.
LihatTutupKomentar