DEUS KASEKE ASAINI MIAKA MIWILI SINGIDA UNITED

NA IMANI SADICK  Aliyekuwa Mchezaji Wa Klabu Ya YANGA DEUS DAVID KASEKE Amesaini Mkataba Wa Miaka Miwili Kuitumikia Klabu Ya Singida United Inayonolewa Na Aliyekuwa Kocha Wa Zamani Wa YOUNG AFRICA (YANGA) HANS VAN DER PLUIJM Raia Wa Uholanz Aidha Habari za Ndani Kutoka ndani ya Klabu Ya YANGA ni kwamba KASEKE Hajafikia Mwafaka NA YANGA ndo Maana Kaamua Kujiunga Na Klabu Ya SINGIDA UNITED Mda huu Mchezaji Huyo Amekwea Pipa Kuelekea Kwenye Kambi Ya Timu Hiyo Iliyopo Mwanza Kwa Habari Zaidi Enderea Kuwa NASI KATIKA BLOG YETU AMBAYO NI Mkomesportsnews.bogsports.com
LihatTutupKomentar