NDIO KAONDOKA.

Tokeo la picha la haruna hakizimana niyonzima


Uongozi wa klabu yanga kupitia kwa katibu wake Charles Boniphace Mkwasa Leo umethibitisha rasmi kuachana na aliye kuwa mchezaji wake mnyarwanda Haruna Niyonzima


Mkwasa Amethibitisha kwamba wameshindwa kupata saini ya Haruna kuendelea kuwa nae msimu unayo kuja,Akaenda mbali kwa kusema Niyonzima bado ni mchezaji mzuri sana lakini jitihada za kuweza kubaki zimeshindikana


Taarifa za haruna kuondaka katika mitaa ya jangwani kwenda mitaa ya msimbazi zilianza kusambaa mapema wiki hii,katika vyombo vya habari magazeti,radio,
Tv hata mitandao mbalimbali ya kijamii,


Haruna Ambae Aliichezea Yanga kwa misimu sita (6)
LihatTutupKomentar