HATIMAYE NGOMA KASAINI 2 YANGA

Na Emmanuel mkome.


Hatimaye Uongozi wa yanga mchana wa Leo umemuongezea muda WA miaka miwili mchezaji wake Donald Ngoma.


Ngoma mkataba wake ulikuwa ukingoni kumaliza katika klabu hiyo.
Tetesi nyingi zilienea toka Aliye kuwa kiungo mkabaji wa Yanga Haruna Niyonzima kuhusisha kujiunga Na Simba,Habari zilisambaa kwa Donald Ngoma Na yeye Anaenda mitaa ya Msimbazi.
Ngoma Amesaini kadarasi ya miaka miwili (2) tena kuitumikia yanga.
LihatTutupKomentar