MBAO YAPIGA AZAM 2-1 MWANANGU,YANGA N AE AMETOMBOA 1-0 MBELE YA TANZANIA PRISON MB EYA

Azam  fc,le o    imechapwa  goli 2-1 Dhidi ya mbao ya jijini mwanza ndani ya uwanja wa ccm kirumba,mbao  imefunga ndani ya dakika 30 za mchezo goli la mbao likifungwa na Ludovick,timu zote zilicheza mchezo   wa kushambuliana kwa kasi,lakini Azam ilicheza kwa kasi na soka la kuvutia,na kuwapa mbao presha sana katika mchezo huo,lakini safu  n zima ya timu ya mbao ilikuwa imara san a katika mashamb ulizi yote yaliyo kuwa yakifan ywa n a Azam,dakika ya 39   Mudathir Yahaya akikosa goli la wazi,baada ya kupata nafasi nzuri,hadi kipindi cha kwanza kuisha timu ya mbao ilikuwa mbele kwa goli moja,kipindi cha pili kilianza na kuonekana Azam  wanahitaji kusawazisha goli,mchezo uliendelea kuwa mgumu kwa azama ambao ilikuwa inahitji  kusawazisha,lakini mbao nao ilionekana kuto kulizika na goli moja,mpira ulichezwa kwa kasi kwa timu zote mbili,lakini nddani ya dakika  50 za mchezo kipindi cha pili  Azam fc ilipingwa goli la pili,goli lilo wekwa kimiani na Boniphace maganga, Azam walifanya mab adiliko  baada ya kuona timu inaenda mlama kwa kumuingiza Francisco zekumbawira kwa kumtoa Abubkar dakika 55,katika mabadiliko hao yalipa unafuu  sana Azam ,ndani ya dakika 67  Zekumbawira huo Aliweza kuipa Azam  goli a kwanza  katika mechi hiyo,pasi nzuri kutoka kwa John bocco, hivyo mchezo ukimalizika kwa mb ao kushinda 2-1
LihatTutupKomentar