misri kukiona cha moto kesho

Stars kesho inashuka dimbani hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam,kucheza na misri mchezo wa kutafuta kucheza michuano ya Afrika mwakani nchini Gabon,stars inahitaji kushinda dhidi ya misri hapo kesho ilk iweze kufufua matumaini ya kusonga mbele,Stars ilicheza na Nigeria na kutoka sare uku misri ikaifunga goli tatu bila,kocha wa stars mkwasa akidai lazima stars iwafunge mafarao wa misri,uku akiwaomba mashabiki kujitokeza hapo kesho kiishangilia kwa nguvu stars ili iweze kuimbuka na ushindi alisema mkwasa,uku keputeni wa timu hiyo mbwana samatta akisema stars la zima wacheze wakijua wana kibarua kigumu,no lazima wacheze kwa kujituma ili kuwafurahisha watanzani kweny
e mchezo wa kesho.
LihatTutupKomentar