YANGA yapiga Esperanca ya Angola 2-0

Young African yashinda mechi yao ya kwanza dhidi ya  Esperanca kutoka Angola mechi ya kombe la shirikisho barani Afrika magoli yanga yamefungwa na Saimon msuva  dk 71 na matheo, dk za nyongeza za mchezo na kuicha Esperanca wakishangaa, hivyo yanga inahitaji sare yoyote kwenye mchezo. Wa marudiano utakao fanyika baada wiki moja ili yanga iweze kusoga mbele inahitaji sare yoyote ili iweze kuingia katika nafsi ya makundi
LihatTutupKomentar