rashford yumo kikosini england

Kida wa Manchester United Marcus rashford, nae ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya England chenye wachezaji 23,kida huyo 18 ambae ameifungia goli England juzi England ilipo kuwa ikicheza na Australia mechi ya kirafiki,England inajiandaa katika michuano ya Euro 2016  itakayo fanyika nchini ufaransa
LihatTutupKomentar