Je wajua?

Katika misimu mitatu mfululizo makocha  watatu ndo wameweza kuzifikisha timu zao kucheza  fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya,katika msimu wao wa kwanza kufundisha (Diego simeone Atletico Madrid 2014) (Luis Enrique Barcelona 2015) na Zinedine zidane Real Madrid
LihatTutupKomentar