yanga yapeta ugenini

Yanga yazidi kujipatia point 3 muhimu kwenye mchezo wao wa jana,zidi ya toto african ya mwanza,badaa ya toto african,kukubali magoli 2 kwa 1,magoli ambayo yamefungwa na Amisi tambwe na lapili na Juma Abdul,nakuifanya yanga kufikisha point 65.
LihatTutupKomentar