CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY ENGLAND

Image result for chelsea vs leicester
Chipukizi wa England, Mason Mount akiifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya saba baada ya kiungo mwenzake, Mnigeria Wilfred Ndidi wa  Leicester City kuanguka timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kusawazisha la Leicester City limefungwa na Ndidi dakika ya 67
LihatTutupKomentar