BREAKING NEWS IBRAHIM AJIBU ASAINI KANDARASI SIMBA MCHANA HUU


Na Godfrey Mgaya
IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga. 

Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita. 

Ajibu alijiunga na Yanga msimu wa 2017-18 akitokea Simba na amecheza misimu miwili bila kutwaa kombe akiwa na Yanga sasa amerejea rasmi kwenye klabu yake ya zamani ya Simba

LihatTutupKomentar