KOCHA SIMBA ATOA TAMKO HILI KWA WACHEZAJI WAKE


Kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems ameonyesha kukasirishwa na mpira waliocheza wachezaji wake na kusababisha kufungwa na Mashujaa kutoka Kigoma na kutolewa kwenye michuano ya kombe la ASFC. Aussems ameongeza kuwa wachezaji wake walicheza kama watoto

LihatTutupKomentar