Mwigizaji na mlimbwende wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018.
Wema amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu.
Amefikishwa mahakamani hapo akisindikizwa na polisi huku akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.P