MESS NA KOCHAWAKE WAMGOMEA DAKITARI

Lionel Messi kushoto na Ernesto Valverde kulia.
Barcelona wameweka wazi kikosi chenye majina 22 huku jina la Messi likiwekewa alama ya nyota pamoja na ujumbe uliosema, "Messi atasafiri bila ruhusa kamili ya madaktari iwapo yupo tayari kucheza".
FC Barcelona
@FCBarcelona
#InterBarça Squad
1. Ter Stegen
2. N.Semedo
3. Piqué
4. I. Rakitic
5. Sergio
6. Denis
7. Coutinho
8. Arthur
9. Suárez
10. Messi
11. Dembélé
12. Rafinha
13. Cillessen
14. Malcom
15. Lenglet
18. J.Alba
19. Munir
20. S. Roberto
22. Arturo Vidal
26. Aleñá
30. Iñaki Peña
36. Chumi
11:54 AM - Nov 5, 2018
10.1K 2,385 people are talking about this
Messi aliumia mkono kwenye mechi ya ligi kuu ya Hispania dhidi ya Sevilla wiki tatu zilizopita lakini ameanza mazoezi wiki iliyopita lakini kocha amemujumuisha kitu ambacho kimezua maswali mengi kama ni utashi wa kocha ama Messi amelazimisha kujuimuishwa.
Hata hivyo kocha Ernesto Valverde alikaririwa siku ya Ijumaa wiki iliyopita akiweka wazi kuwa licha ya Messi kurejea mazoezini lakini hatafanya haraka ya kumchezesha ili kutohatarisha afya yake.
Barcelona ndio vinara wa Kundi B baada ya kushinda michezo yao yote mitatu ya Ligi ya Mabingwa, wakati wapinzani wao Inter wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama

LihatTutupKomentar