Clabu ya soka ya Esperance imefanikiwa kutwaa taji la klabu bingwa barani Africa baada ya kushinda 3-0 dhidi ya Al Ahly.
Esperance wamefanikiwa kuichambanga kwa ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Al Ahly.
Ushindi huo unawafanya Esperance kufanikiwa kutwaa taji hilo kwa mara ya 3 ikumbukwe walitwaa kombe hilo Mara 2 katika miaka ya mwaka 1994 na 2011