DIDIER DROGBA ASTAFU SOKA RASMI


Hatimaye mshambuliaji maarufu duniani kote, Didier Drogba ,40, ameamua kustaafu kucheza soka.

Drogba raia wa Ivory Coast ameamua kutundika daruga akiwa na mechi 679 alizocheza pamoja na mabao 367.

Mabao hayo yanamfanya kuwa mmoja ya washambulizi wa kati wa asili kufunga mabao mengi zaidi.


REKODI YAKE:

🏟 679 mechi

⚽ 367 mabao

🇨🇮 104 mechi timu ya taifa

🏆🇪🇺 1x UCL

🏆🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 4x Premier League

🏆🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 4x FA Cup

🏆🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 3x League Cup

🏆🇹🇷 1x Süper Lig

🏆🇹🇷 1x Turkish Cup

🏆🇹🇷 1x Turkish Super Cup

🏆🌍 2x African POTY

LihatTutupKomentar