REAL MADRID YAENDELEA KUGAWA POINT LA LIGA

Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA, Luca Modric akiwa chini analalamika wakati wa mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa de Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz dhidi ya wenyeji, Alaves walioshinda 1-0, bao pekee la Manu García dakika ya 90 na ushei hiyo ikiwa mechi ya nne wanacheza bila kushinda au kufunga japo bao

LihatTutupKomentar