RATIBA YA MICHEZO YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA


Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa viwanja 6 kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali hapa nchini.

Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria kwa kutwaa ubingwa huo mara 27 watakuwa Uwanja wa Taifa kuwakaribisha Mbao FC ya jijini Mwanza.

Mechi zote kwa ujumla hizi hapa

Yanga vs Mbao FC
Biashara United vs Mwadui FC
JKT Tanzania vs Alliance Schools
Azam FC vs Coastal Union

LihatTutupKomentar