Ligi kuu inaendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti, leo timu nane zitashuka uwanjani na ratiba ni kama ifuatavyo:-
Stand V Mtibwa Sugar, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.
Mbeya V Mwadui, Sokoine, Mbeya.
Ndanda V Biashara United, Nangwanda, Mtwara.
KMC V Yanga, Taifa, Dar es Salaam.