RATIBA LIGI KUU LEO JUMA TATU

Ratiba ligi kuu Tanzania bara leo Jumatatu 29.10.2018

Baada ya jana kushuhudia mechi kadhaa za ligi Kuu Tanzania bara zikichezwa leo ligi hiyo Itaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa.

Leo kutachezwa mechi mbili kati ya Mwadui na Stand United mechi itakayochezwa Katika uwanja wa Kambarage Stand United wakiwa wenyeji wa mchezo wa leo, Mechi inayotazamiwa kuwa na Upinzani mkubwa maarufu kama Shinyanga Dabi.

Nao African Lyon itakuwa nyumbani uwanja wa Uhuru kuwakaribisha Biashara United kutoka mkoani Mara. Mechi zote zitaanza saa kumi kamili alasiri

LihatTutupKomentar