MATOKEO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE YOTE

Michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi imeendelea tena usiku wa October 2 2018 barani Ulaya, kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja mbamlimbali.
Hii ni michezo ya pili ya hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019, wakati unasubiri game za October 3 2018 naomba nikusogezee matokeo ya game za October 2 2018 kama hukupata nafasi ya kuangalia game hizo.

LihatTutupKomentar