BARCELONA NAO HOI, WACHAPWA 2-1 LA LIGA NA LEGANES


Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akipambana katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano wakichapwa mabao 2-1 na Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque mjini Leganes. Mabao ya Leganes yalifungwa na Nabil El Zhar dakika ya 52 na Óscar Rodríguez dakika ya 53, wakati la Barce limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 12 

LihatTutupKomentar