AZAM FC YASHINDWA KUTAMBA UGENINI

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo ambapo matajiri wa jiji la daresalaam AZAM FC walikua wageni wa MWADUI FC mchezo huo umemalizika kwa sare ya goli 1-1

LihatTutupKomentar