ARSENAL YAIGALAGAZA EVERTON BILA HURUMA

Mshambuliaji Mgabon, Pierre-Emerick Aubameyang akibinuka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette dakika ya 56

LihatTutupKomentar