Ratiba ligi kuu ya England EPL 25.8.2018
Ligi Kuu ya Uingereza / England inaendelea leo kwa mechi 6 kuchezwa wakati mechi ya Kwanza kabisa kwa leo ikiwa ni ile ya Wolverhampton dhidi ya Manchester City saa nane na nusu mchana.
Ratiba ya mechi zote za Leo hizi hapa