MATOKEO YA YANGA VS USM ALGER

Mpira ulianza kwa kasi Kubwa huku timu zote Zikiwa zinatafuta bao la kuongoza na mnano dakika ya 45 deusi kaseke akapiga shuti kali lililo mshinda mlinda mlango na kuzama kambani
YANGA 1-0 USM ALGER
  HALF TIME

Yanga 1 – 0 USM Alger
Kipindi cha pili Yanga wanaanza kwa kufanya mabadiliko ya Kumtoa Pius Buswita Anaingia Juma Mahadhi.
Goaaaaaaaaaaaaal Makamboo anaipatia Yanga bao kwa ufundi wa hali ya Juu kapenyezewa Mpira katulia akajaribu kuwakwepa Beki na Kipa na Akafunga
Dakika ya 48
Yanga 2 – 0 USM Alger
Goaaaaaaal Dakika ya 51 USM Alger wanapata bao
Yanga 2 – 1 USM Alger

Dakika ya 78 Ibrahim Ajib anajaribu Shoot on Target kipa anadaka
Yanga 2 – 1 USM Alger
Dakika ya 83 anatoka Raphael Daud anaingia Thaban Kamusoko
Dakika ya 85
Yanga 2 – 1 USM Alger
Dakika ya 89 Heritier Makambo anajaribu shuti kali kipa anadaka na kuutema Mpira na kisha Kuudaka tena.
Dakika 4 zimeongezwa
Yanga 2 – 1 USM Alger
Makambo kwa mara nyingine anaonekaana kuisumbua ngome ya USM Alger
FULL TIME
Yanga 2 – 1 USM Alger (Kaseke, Makambo )
LihatTutupKomentar