MANCHESTER UNTD YACHAPWA TENAA

Mtu mzima amepigwa kipigo cha mabao3-0 kutoka kwa Tottenham ndani ya uwanja wao wa nyumbani. Hiki ni kipigo kiku wa zaidi nyumbani kwa Jose Mourinho tokea awe mkufunzi.
Ni kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2012 Man United kupoteza michezo miwili mfululizo kwa idadi ya mabao zaidi ga 5.

Ni Harry Kane na mabao mawili kutoka Lucas Moura aliyewatosa United miaka kadhaa iliyopita na kutimkia PSG.
Jose Mourinho yupo kwenye presha kubwa sana ndani ya Manchester United kwa sasa. Walio wengi wanamtaja Zidane kama mrithi wake
LihatTutupKomentar