CHUO CHA AFYA TUMAINI JIPYA MAFINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

CHUO CHA AFYA TUMAINI JIPYA MAFINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO


 Chuo cha afya tumaini jipya mafinga kinatangaza nafasi za masomo kwa muhula mpya utakaoanza mwezi septemba mwaka huu wa 2018 katika kozi za: 1. Clinical medicine (tabibu msaidizi) kwa ngazi ya cheti, kozi hii hutolewa kwa muda wa miaka miwili. Sifa za mwombaji: awe na ufaulu wa angalau D katika masomo ya Physics, Chemistry, Biology, 2. Community health (uhudumu wa afya- jamii) kwa ngazi ya cheti.kozi hii hutolewa kwa mwaka mmoja Sifa za mwombaji: awe na ufaulu wa angalau D tatu. ufaulu kwa masomo ya Chemistry, Physics, Biology ni lazima Chuo kipo mtaa wa pipeline mafinga mjini, mkoa wa iringa kina walimu wa kutosha, wenye ari na uzoefu wa kutosha katika kutibu na kufundisha. ada zetu ni nafuu na utalipa kwa awamu. kwa mawasiliano, tafadhali wasiliana na uongozi wa chuo kupitia nambari 0755 535 301 au 0624 535 301. au tembelea Website yetu bonyeza hapa==>https://www.tumainijipya.org




LihatTutupKomentar