CROATIA NAYO YAPOKELEWA KI SHUJAA MAELFU YA WATU WAJITOKEZA MITAANI
Maelfu ya mashabiki wakiwa katika mtaa wa Bana Jelacica Square mjini Zagreb' wakati wa mapkoezi ya timu ya taifa ya Croatia ikitokea Urusi ambao ilifanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Dunia baada ya kufungwa 4-2 na Ufaransa